Thursday, August 23, 2012

Nyoka mkubwa wa ajabu akamatwa na kuuliwa

Nyoka mkubwa dunian amekatwa pande za Egypt katika bahari ya sham(red sea),na maisha ya wakaz weng yalikuwa yapo hatian na wengne weng kupoteza maisha kabla ya nyoka huyo kuuliwa:Aisee!!ni mwisho wa dunia au??,sawa naiman huyo nyoka sio jike kwahiyo hakuna mayai yaliyobaki baharin.Na takwim zinaonyesha nyoka huyo alishameza(kula) watalii 320 na wazamiaj wa Egypt 125 na aliuliwa na wazamiaj maalumu pamoja na wanasayans toka Egypt(professional team of elite Egyptian)
Majina ya wanasayansi walyoshiriki vzur katika tukio hilo ni  D. Karim Mohammed
Mjina ya wazamiaji waliyoshiriki pia katika tukio hilo ni Ahmed leader, Abdullah Karim, fisherman Knight, Wael Mohammed, Mohammed Haridi, spears Alvajuma, Mahmoud Shafik, a full-Sharif.
Na mwili wa nyoka huyo umepelekwa katika sehemu maalum ya kuifathi wanyama huko Egypt(Egypt morgue at Sharm El Sheikh international animal)

Sunday, April 8, 2012

Mwanamke wa kwanza kuwa Rais nchini MALAWI

                                                                       JOYCE BANDA
Makamu wa rais wa Malawi Joyce Banda ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kufuatia kifo cha Bingu wa Mutharika.
Banda anakuwa rais wa kwanza wa kike kusini mwa Jangwa la Sahara, na aliapishwa mbele ya bunge katika mji mkuu wa Malawi, Lilongwe.
Bi Banda, ambaye alikuwa makamu wa rais tangu mwaka 2009, alishangiliwa na kupigiwa kofi kabla na baada ya shughuli hiyo.
Bw Mutharika, 78, alipatwa na mshtuko wa moyo siku ya Alhamis, ingawa kifo chake hakikuthibitishwa hadi Jumamosi.
Kuchelewa kutangazwa kifo chake kulisababisha wasiwasi kuhusu nani anaongoza nchi hiyo.
Kulikuwa na tetesi kuwa watu wa karibu wa rais Mutharika walikuwa wakitaka kubadili katiba ya nchi ili kuzuia Bi Banda kuchukua madaraka, na badala yake kumpa ndugu yake, Peter Mutharika ambaye ni waziri wa mambo ya nje.
Bi Banda alifarakana na rais Mutharika mwaka 2010 na kuwa mkosoaji mkubwa wa rais.Alifukuzwa kutoka chama cha DPP na kuunda chama chake cha Peoples Party.

Monday, March 12, 2012

Tukiamua tunaweza

Ukiachilia mbal suala zima la utata  wa vijana wengi katika maisha nchin Senegal ila hali ya kuweza kujikwamua kiuchum na kuleta changamoto ya maisha kw kufanya mchezo wa Wrestling maaruf kama mieleka kw kuwafanya vijana wengi walio na kipato duni kuutumia km kitega uchum chao(biashara),hapa tunamuangalia Gris Bordeaux ambaye ni star na bingwa wa wrestling katika nchi ya Senegal pia ni mwalimu wa wrestling pand za Dakar nchin humo.''Wrestling ni kuhusu akir,nguvu na nidham ambayo ndo itakupelekea adi kuwa profession katika malengo yako lakin pia mindset yako ni muhimu na unatakiwa kupata elimu kuhusu mchezo huu''alisema bingwa huyo wa Wrestling toka Senegal.Aliendelea kusema kwamba mchezo huu umeweza kumfungulia milango ya maisha kwa maana umemfanya aweze kujiamin,kuangalia usalama wa familia na vijana wa jamii yake kw ujumla.Lakin ukiachilia mbal na suala hilo pia mchezo huo unakutwa na uhaba wa vifaa vya kisasa kitu ambacho kinawafanya vijana wanaoupenda mchezo huo kutumia rims,tairi za magar zenye uzito kama chuma cha kuongeza kifua na kuwa heavier na mazoez yao yanakuwa maeneo ya ufukwen kitu ambacho kinawafanya wawe na eneo kubwa la kufanyia mazoez.Afrika tukiamua tunaweza
              Vjana wakijifua mazoezin                    
  
Vjana mazoezin

 vjana mazoezin
Mwandish wa habar toka CNN akiwa na mwalim wa wrestling Mr Gris Bordeaux toka Dakar,Senegal

Sio wabrazil tu ata sisi tunajua pia

 Hahahaa!!!!

MIM NI ZAID YAO


Ni mtoto wa pil katika familia ya watoto wanne,huyu si mwingine bal ni Alloyce Nyanda toka kanda ya ziwa ambaye pia ni mwanafunz wa mwaka wa pil aki-persue mass com katika chuo cha St Augistine toka pande za Rock Cty(Mwanza Mwanza),amefunguka na kusema yeye ni zaid ya mapresenter waliokwisha tangulia na wala hakuna wa kumfananisha nae,Alloyce ambaye anajulikana zaid kw jina la Van b km jina la kutangazia alisema na SK.BLOGSPOT.COM..''huu ni kama mwanzo tu wa ndoto zangu coz nahitaj kutimiza ndoto zangu kwa kuwa so untouchable na nisiwe mtu wa kuiga iga suala zima la saut kama mapresenter wengne wanavyokuwa ambapo amesema hiyo inatokana na kutojiamin vya kutosha''.Alloyce aka Van b ambaye anasukuma vipind viwil kimoja ni cha NGOMA TIME toka pale Saut fm ya jijin Mwanza na kingine ni toka pale Barmedas Cable Tv toka hapo hapo Mwanza,ukiachilia mbal na utangazaj Van b pia ni mpish mzur wa jinglez za redio.''yeah apart from utangazaj natumia sana time yangu kucheza na mixing za vocal il kuwa fund zaid wa jinglez na hilo ndo suala linalonifanya niwe napata ufundi mpya wa kusuka jingle kal za media''aliongezea mtu mzima Van b.Mtu mzima aliweka waz kwamba ndoto yake ni kuja kuwa bonge la presenter na ku-host vipind ndan ya 990 fm toka Ethiopia il ntangaze aman pia amekuwa mostly inspired by 
Fred Waa toka Radio Free Africa(RFA) na Tyga toka Neck Fm ya jijin New York Marekan

Tuesday, February 28, 2012

Na wao wanahak ya kupendwa na ata km wanafanyishwa kaz bt c km hiv

Tetes..et Lil Kim ameresponds kitu cha Maino’s Love Song



As you should know, Lil Kim and Maino were a bit of an item at one point and Maino did a song where he seemingly proclaimed his love for the Queen B. The song didn’t go too far, but it certainly provided the gossips with something to talk about. Here are some of the lyrics...
“Everybody knew I took n*ggas to war for you/All the times you said the industry fake don’t let it fool me/The jewels that you dropped on the game you used to school me…”
“I rolled with you straight to the jail, that’s how I do/Kites to the joint expressing how much I love you/Still a queen even in greens…”
“Things change/You came home and we moving different/Emotions now getting involved/We in our feelings/Fighting and we arguing, sh*t we never used to do/We don’t even speak no more/You was claiming I was using you…”
“I still love you though.”
Well…if you thought Lil Kim was just going to take him back over that…you were wrong! Kim has responded and the forecast is not hot for Maino.

In an unnamed song, Kim says the following:
“If you love me, you would say it in front of them…”If you loved me, you would let the world know it / say it out your mouth, but I would rather your heart show it / Actions speak louder than words / This was God’s work, but you couldn’t see / God blessed you when he sent you to me.”
Here is Maino's song(vdeo)

New..Episode 1 Of Tyga’s “Careless World” Tour [Video]



Hapo juu,ni clip vdeo ya m2 mzima Tyga toka YMCMB ambayo ni tour mojawapo ya albam yake ya “Careless World” ambapo ni imepata nafas ya kuwa epsode ya kwanza,ukiachilia mbal na hayo m2 mzima Tyga amefunguka ni 1 ya ndoto zake kuja kuingia kwny soko la music dunian na kumake headline za kutosha kla plac,king&queens ndo nymbo yangu nnayoikubal katka my albam,alifunguka Tyga pale alpokuwa anapga interview na kituo kimoja cha televishen.Pia walikuwepo watu waliompa shavu la kumake cameos on his tour ambao ni Birdman,Mack Maine,Lil Twist,YG,Diddy,Travis Porter and Honey Cocaine.Dis episode shows a recap of Tygaman‘s first week on tour performing in Atlanta,Tampa, Miami,Gainesville and Orlando.Enjoy
Here below ar some photos of Tyga, Lil Twist an Honey Cocaine performing in Atlanta, Georgia ndan ya February 27 at The Masquerade for the “Careless World” tour


Friday, February 24, 2012

New Vdeo ya Chid Benz - lyk a muv star

New BONGO rnb kiler

Mzik wa bongo fleva umekua ukipga ha2a day afta day na hii ni kutokana na faida wanaozpata wsanii wanaohucka na music industry,lakin hapa namzungumzia msanii mchanga kwny hii game ya rnb kw hapa +255 ambaye anaenda kw jna la Rehan Ibrahim,mwanafunz toka chuo cha CBE na jna la kazin ni Lonka,nilianza muzic 2002 nikiwa standrd 5 na kuingia studio rasm kurekod ilikuwa 2006 nkiwa form 3,mimi km Lonka napend muzic rnb style pia muzic wowote weny radha,natarajia kuwa artist wa kmataifa,alieleza kijana Lonka na pia hakufcha kuwa wasanii anaowazmia hapa bongo na walimfanya kutamana sana music ni Prof jay,Sir nautre,Nuruhel na Fid q,aliongeza kw kusema'',nje ya bongo namkubali Craid david na J holyday pia hiphop ni Common na Jay z,ngoma yangu ya kwanz inaitwa ''raha'' na ya pili ndo hii ''we ni wangu'',natarajia kufanya video ya ngoma mpya nlio mshrikisha mabeste chini ya studio za sei records,nje ya muzic napend kucheza baskettball pia road trip na kuchek movie's,kwa sasa nko chuo c.b.e na muda mwng na2mia kwa muzic,kusoma,na ku enjoy na marafki,nawashaur artist wenzangu 2we na ushirikiano na umoja ni nguvu.Hivyo ndvyo alvyomaliza kijana Lonka so ni zamu ye2 watanzania kuusapot mzik wa bongo il uweze kufka mbal levo za kimataifa


Tuesday, February 21, 2012

Remember's Whitney Houston(1963-2011)

Singer/Actress Singer Whitney Houston died on February 11 in Los Angeles.The cause of death is still under investigation.Houston was 48-years old.According to the Guinness Book of World Records,Whitney Houston was the most awarded female artist of all time with an astounding 415 career awards as of 2010.Houston sold over 170 million albums and singles worldwide.Some of her biggest hits came off of herself-titled debut album Whitney, I’m YourBaby Tonight and The Bodyguard. She starred both in movies (The Bodyguard, Waiting To Exhale, The Preacher’s Wife) and TV (Cinderella). Houston and pop star Bobby Brown divorced in 2007 after 14 years of marriage; they have one daughter, Bobbi Kristina.
The below pic of Houston jus one night before she passed away,R.I.P W.H

New vdeo de kid aka Cyril Kamikaze ft jux - Nafanya

Hatimae Ant virus wapatana na Clouds media

Hatimaye Ule ugomvi wa muda mrefu ulioleta na kuzua maneno meng sana kw jamii ya kitanzania ad kupeleka kuleta matabaka kat ya baadh ya vjana wamalizika,huu ugomv ulihucsha makund mawil tofaut kati ya mkurugenzi wa Cloudsmedia Ruge mutahaba na mh Joseph mbilinyi(sugu) wamaliza tofauti zao baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya waziri wa habari ,chimbi na mbunge Tundu lisu,na hyo ni kw mujibu wa vyombo vya habar tofaut tofaut toka hapa tz
:hii ni picha hapo chin iliochukuliwa punde tu baada ya kupatanishwa na kumaliza tofauti zao...

Jiwe la Fid q - ielewe mitaa


km kawiz dis video was shot in july during ZIFF in Unguja Island (Zanzibar) around stone town.

Saturday, February 18, 2012

Tyga’s “Rack City” Certified Platinum x Behind The Scenes Of DUB Magazine’s Photo Shoot

Tyga jus keeps on winning!First we found out his “Rack City” single reached #7 on Billboard’s Hot 100 chart, now accordin 2 HHNM, T-Raw‘s Careless World single has sold over 1 million digital copies in de U.S.
After de jump,u can view a closer look of Tygaman‘s new gold Audi R8 whip an some behind de scenes pics from his photo shoot with DUB Magazine:

le me wish u al da best mr last king Tyga Tyga...YMCMB big bines bgger dan lyf..braaaaaaaaa