Tuesday, February 28, 2012

New..Episode 1 Of Tyga’s “Careless World” Tour [Video]



Hapo juu,ni clip vdeo ya m2 mzima Tyga toka YMCMB ambayo ni tour mojawapo ya albam yake ya “Careless World” ambapo ni imepata nafas ya kuwa epsode ya kwanza,ukiachilia mbal na hayo m2 mzima Tyga amefunguka ni 1 ya ndoto zake kuja kuingia kwny soko la music dunian na kumake headline za kutosha kla plac,king&queens ndo nymbo yangu nnayoikubal katka my albam,alifunguka Tyga pale alpokuwa anapga interview na kituo kimoja cha televishen.Pia walikuwepo watu waliompa shavu la kumake cameos on his tour ambao ni Birdman,Mack Maine,Lil Twist,YG,Diddy,Travis Porter and Honey Cocaine.Dis episode shows a recap of Tygaman‘s first week on tour performing in Atlanta,Tampa, Miami,Gainesville and Orlando.Enjoy
Here below ar some photos of Tyga, Lil Twist an Honey Cocaine performing in Atlanta, Georgia ndan ya February 27 at The Masquerade for the “Careless World” tour


No comments:

Post a Comment