Tuesday, February 21, 2012

Hatimae Ant virus wapatana na Clouds media

Hatimaye Ule ugomvi wa muda mrefu ulioleta na kuzua maneno meng sana kw jamii ya kitanzania ad kupeleka kuleta matabaka kat ya baadh ya vjana wamalizika,huu ugomv ulihucsha makund mawil tofaut kati ya mkurugenzi wa Cloudsmedia Ruge mutahaba na mh Joseph mbilinyi(sugu) wamaliza tofauti zao baada ya kufanyika kwa vikao mbali mbali chini ya waziri wa habari ,chimbi na mbunge Tundu lisu,na hyo ni kw mujibu wa vyombo vya habar tofaut tofaut toka hapa tz
:hii ni picha hapo chin iliochukuliwa punde tu baada ya kupatanishwa na kumaliza tofauti zao...

No comments:

Post a Comment