Tuesday, October 4, 2011

Sam & Mchomvu wamfuata B12


 Presenter wa Power Jam na FNL ya EA radio na EATV Sam Misago pamoja na AD plus a.k.a baba jonii Adam Mchomvu ambae ni co-host wa double XXL na B12 pamoko na Dj fetty wameamua kujishughulisha na busness nyngine kuachilia na kaz zao binafs
''nataka ku-run biashara zangu ambazo kw sasa ziko kwenye maandaliz ya ambapo kila ki2 kitakapokamilika ntafungua clothing line pamoja na printing and promotion company soon''alisema mtu mzima AD+ ambaye pia ameshka no 1 ya radio presenter in TZ accordn to HOLA research ila kwa upande mtu ambaye amezaliwa champion Sam Misago amesema siku za uson atafungua hiw own clothing line itakayoitwa ''Champion Classic'',''nipo kwenye harakat za mwisho za kuandaa my brand ya champion''-Misago say.
Kwa pamoja wanakuwa wamepiga hatua za kimaendeleo yao binafsi ya kimaisha na kumuunga mkono kw idea km zao presenter mwenzao B12 wa XXl ya Clouds ambaye ana own clasic ya pamba ya ''Born 2 shine''
Dats wat we cal Youth in busnessssss/zzzzzz no kulala

1 comment: