Thursday, October 18, 2012
Thursday, August 23, 2012
Nyoka mkubwa wa ajabu akamatwa na kuuliwa
Nyoka mkubwa dunian amekatwa pande za Egypt katika bahari ya sham(red sea),na maisha ya wakaz weng yalikuwa yapo hatian na wengne weng kupoteza maisha kabla ya nyoka huyo kuuliwa:Aisee!!ni mwisho wa dunia au??,sawa naiman huyo nyoka sio jike kwahiyo hakuna mayai yaliyobaki baharin.Na takwim zinaonyesha nyoka huyo alishameza(kula) watalii 320 na wazamiaj wa Egypt 125 na aliuliwa na wazamiaj maalumu pamoja na wanasayans toka Egypt(professional team
of elite Egyptian)
Majina ya wanasayansi walyoshiriki vzur katika tukio hilo ni D. Karim Mohammed
Mjina ya wazamiaji waliyoshiriki pia katika tukio hilo ni Ahmed leader, Abdullah Karim, fisherman Knight, Wael Mohammed, Mohammed Haridi, spears Alvajuma, Mahmoud Shafik, a full-Sharif.
Na mwili wa nyoka huyo umepelekwa katika sehemu maalum ya kuifathi wanyama huko Egypt(Egypt morgue at Sharm El Sheikh international animal)

Sunday, April 8, 2012
Mwanamke wa kwanza kuwa Rais nchini MALAWI
JOYCE BANDA
Makamu wa rais wa Malawi Joyce Banda ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kufuatia kifo cha Bingu wa Mutharika.
Banda anakuwa rais wa kwanza wa kike kusini mwa Jangwa la Sahara, na aliapishwa mbele ya bunge katika mji mkuu wa Malawi, Lilongwe.
Bi Banda, ambaye alikuwa makamu wa rais tangu mwaka 2009, alishangiliwa na kupigiwa kofi kabla na baada ya shughuli hiyo.
Bw Mutharika, 78, alipatwa na mshtuko wa moyo siku ya Alhamis, ingawa kifo chake hakikuthibitishwa hadi Jumamosi.
Kuchelewa kutangazwa kifo chake kulisababisha wasiwasi kuhusu nani anaongoza nchi hiyo.
Kulikuwa na tetesi kuwa watu wa karibu wa rais Mutharika walikuwa wakitaka kubadili katiba ya nchi ili kuzuia Bi Banda kuchukua madaraka, na badala yake kumpa ndugu yake, Peter Mutharika ambaye ni waziri wa mambo ya nje.
Bi Banda alifarakana na rais Mutharika mwaka 2010 na kuwa mkosoaji mkubwa wa rais.Alifukuzwa kutoka chama cha DPP na kuunda chama chake cha Peoples Party.

Monday, March 12, 2012
Tukiamua tunaweza
Ukiachilia mbal suala zima la utata wa vijana wengi katika maisha nchin Senegal ila hali ya kuweza kujikwamua kiuchum na kuleta changamoto ya maisha kw kufanya mchezo wa Wrestling maaruf kama mieleka kw kuwafanya vijana wengi walio na kipato duni kuutumia km kitega uchum chao(biashara),hapa tunamuangalia Gris Bordeaux ambaye ni star na bingwa wa wrestling katika nchi ya Senegal pia ni mwalimu wa wrestling pand za Dakar nchin humo.''Wrestling ni kuhusu akir,nguvu na nidham ambayo ndo itakupelekea adi kuwa profession katika malengo yako lakin pia mindset yako ni muhimu na unatakiwa kupata elimu kuhusu mchezo huu''alisema bingwa huyo wa Wrestling toka Senegal.Aliendelea kusema kwamba mchezo huu umeweza kumfungulia milango ya maisha kwa maana umemfanya aweze kujiamin,kuangalia usalama wa familia na vijana wa jamii yake kw ujumla.Lakin ukiachilia mbal na suala hilo pia mchezo huo unakutwa na uhaba wa vifaa vya kisasa kitu ambacho kinawafanya vijana wanaoupenda mchezo huo kutumia rims,tairi za magar zenye uzito kama chuma cha kuongeza kifua na kuwa heavier na mazoez yao yanakuwa maeneo ya ufukwen kitu ambacho kinawafanya wawe na eneo kubwa la kufanyia mazoez.Afrika tukiamua tunaweza
Vjana wakijifua mazoezin
Vjana mazoezin
vjana mazoezin
Mwandish wa habar toka CNN akiwa na mwalim wa wrestling Mr Gris Bordeaux toka Dakar,Senegal
MIM NI ZAID YAO
Ni mtoto wa pil katika familia ya watoto wanne,huyu si mwingine bal ni Alloyce Nyanda toka kanda ya ziwa ambaye pia ni mwanafunz wa mwaka wa pil aki-persue mass com katika chuo cha St Augistine toka pande za Rock Cty(Mwanza Mwanza),amefunguka na kusema yeye ni zaid ya mapresenter waliokwisha tangulia na wala hakuna wa kumfananisha nae,Alloyce ambaye anajulikana zaid kw jina la Van b km jina la kutangazia alisema na SK.BLOGSPOT.COM..''huu ni kama mwanzo tu wa ndoto zangu coz nahitaj kutimiza ndoto zangu kwa kuwa so untouchable na nisiwe mtu wa kuiga iga suala zima la saut kama mapresenter wengne wanavyokuwa ambapo amesema hiyo inatokana na kutojiamin vya kutosha''.Alloyce aka Van b ambaye anasukuma vipind viwil kimoja ni cha NGOMA TIME toka pale Saut fm ya jijin Mwanza na kingine ni toka pale Barmedas Cable Tv toka hapo hapo Mwanza,ukiachilia mbal na utangazaj Van b pia ni mpish mzur wa jinglez za redio.''yeah apart from utangazaj natumia sana time yangu kucheza na mixing za vocal il kuwa fund zaid wa jinglez na hilo ndo suala linalonifanya niwe napata ufundi mpya wa kusuka jingle kal za media''aliongezea mtu mzima Van b.Mtu mzima aliweka waz kwamba ndoto yake ni kuja kuwa bonge la presenter na ku-host vipind ndan ya 990 fm toka Ethiopia il ntangaze aman pia amekuwa mostly inspired by
Fred Waa toka Radio Free Africa(RFA) na Tyga toka Neck Fm ya jijin New York Marekan
Sunday, March 11, 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)