Monday, March 12, 2012

MIM NI ZAID YAO


Ni mtoto wa pil katika familia ya watoto wanne,huyu si mwingine bal ni Alloyce Nyanda toka kanda ya ziwa ambaye pia ni mwanafunz wa mwaka wa pil aki-persue mass com katika chuo cha St Augistine toka pande za Rock Cty(Mwanza Mwanza),amefunguka na kusema yeye ni zaid ya mapresenter waliokwisha tangulia na wala hakuna wa kumfananisha nae,Alloyce ambaye anajulikana zaid kw jina la Van b km jina la kutangazia alisema na SK.BLOGSPOT.COM..''huu ni kama mwanzo tu wa ndoto zangu coz nahitaj kutimiza ndoto zangu kwa kuwa so untouchable na nisiwe mtu wa kuiga iga suala zima la saut kama mapresenter wengne wanavyokuwa ambapo amesema hiyo inatokana na kutojiamin vya kutosha''.Alloyce aka Van b ambaye anasukuma vipind viwil kimoja ni cha NGOMA TIME toka pale Saut fm ya jijin Mwanza na kingine ni toka pale Barmedas Cable Tv toka hapo hapo Mwanza,ukiachilia mbal na utangazaj Van b pia ni mpish mzur wa jinglez za redio.''yeah apart from utangazaj natumia sana time yangu kucheza na mixing za vocal il kuwa fund zaid wa jinglez na hilo ndo suala linalonifanya niwe napata ufundi mpya wa kusuka jingle kal za media''aliongezea mtu mzima Van b.Mtu mzima aliweka waz kwamba ndoto yake ni kuja kuwa bonge la presenter na ku-host vipind ndan ya 990 fm toka Ethiopia il ntangaze aman pia amekuwa mostly inspired by 
Fred Waa toka Radio Free Africa(RFA) na Tyga toka Neck Fm ya jijin New York Marekan

No comments:

Post a Comment