Thursday, August 23, 2012

Nyoka mkubwa wa ajabu akamatwa na kuuliwa

Nyoka mkubwa dunian amekatwa pande za Egypt katika bahari ya sham(red sea),na maisha ya wakaz weng yalikuwa yapo hatian na wengne weng kupoteza maisha kabla ya nyoka huyo kuuliwa:Aisee!!ni mwisho wa dunia au??,sawa naiman huyo nyoka sio jike kwahiyo hakuna mayai yaliyobaki baharin.Na takwim zinaonyesha nyoka huyo alishameza(kula) watalii 320 na wazamiaj wa Egypt 125 na aliuliwa na wazamiaj maalumu pamoja na wanasayans toka Egypt(professional team of elite Egyptian)
Majina ya wanasayansi walyoshiriki vzur katika tukio hilo ni  D. Karim Mohammed
Mjina ya wazamiaji waliyoshiriki pia katika tukio hilo ni Ahmed leader, Abdullah Karim, fisherman Knight, Wael Mohammed, Mohammed Haridi, spears Alvajuma, Mahmoud Shafik, a full-Sharif.
Na mwili wa nyoka huyo umepelekwa katika sehemu maalum ya kuifathi wanyama huko Egypt(Egypt morgue at Sharm El Sheikh international animal)

No comments:

Post a Comment