Saturday, November 26, 2011

Furaha ya Michael Stevenon on his Birth Day

Yule mkal wa kofia zlizo kwny chart wel known by de nam Snapbak Michael Stevenon known by da stage name TYGA (an acronmy 4 Thank You God Always) born Nov 19/1989.Tyga alionekana akiwa m2 mwenye furaha ya kutosha wakat alpokuwa akcelebrating his 22nd b day ndan ya Chateau Night&Gardens an de Sugar Factory ndan ya LV(Las Vegas).Ilikuwa ni cku nzur kwake coz alipata sapoti ya kutosha kutoka kw maraia kibao,wanyamwez wake toka Las Vegas pa1 na mwanadada aliyejulikana kwa jina la Black Chyna ambaye pia ni Star in de ''rock city''.
Ila Tyga ambaye kw sasa anatesa na vdeo track yake kal ya Snapbak bak aliyomshirikisha swaiba wake wa karbu Crhiss Brizz,Tyga pia ni kijana anayejishughulisha na masuala ya fashion kw sasa anapenda kuvaa tshet na snapbak alzobuni znaenda kw jina la ''Last King'' a.k.a LK na habar nzur kw mashabik waTyga pale itakapo fikia tareh 20 mwez wa 12 bas itakuwa ni cku nyngne maalum kwa Tyga na kw mashabik wake coz atadondosha mzigo wake(albam) ya CARELESS WORLD:RISE OF THE LAST KING ambapo humo ndan kutakuwa na v2 vilivyopangwa km vile hiv;
*Background-hapa itakuwa km muv flan 2 de rapping style
*Guests & Production-raia wote walioshirikishwa Drake,Minaj,Chris Brizz,Weezy,Big Sean,Wale,Game,Buster rymz,Soulja boy etc
*Singles-nyimbo zake zote
*Confirmed Songs-al about hot audioz an vdeoz
*References-tovut mbalimbali,radio an tv stations an sme magazine

Pcha hapo juu:Tyga akiwa na Black Chiyna+ki2 cha keki chenye mfano wa kofia zake za last king snapbak

Picha hapo juu:Tyga Tyga mwenyewe akiwa na k2 cha ngano mkonon(wine)
Pcha hapo juu:Wanyamwez waliodondoka ndan ya Chateau Nightclub kuimpa sapot ya kutosha homiey Tyga(katikati)

Thursday, October 6, 2011

Hustlin za Darasa zatnga ad Bongo muv

Yule mchiz wa ''ckat tamaa'' song alyomshirikisha mzee wa my no 1 fun Ben pol,mchiz toka pand za kiwalan known by de stag nam Darasa amesema kwa sasa anajiandaa na maandaliz ya kutengeza na kuachia muv itakayo base kutokana na track yake hiyo ya ''ckat tamaa''.''Nmeamua kuandaa muv ambayo itaendana na maisha ya maraia kibao pamoja na harakat zangu mwenyewe nilizopitia''alisema darasa,pia muv itahusisha wasanii wa bongo muv industry kama vile Rihama,mwanadada Diva na wengne wengi wengi toka hood,pia aliongeza kw kusema ''mazingira husika na maeneo ambayo muv itashutiwa ni hood yake ya kiwalani na sehem nyningine za Dar cty na main character ni yeye mwenyewe Darasa''.
Kwa sasa Darasa anabang na track yake hiyo ya ''ckat tamaa''amabyo ameshaiachia vdeo pia
Pcha:Darasa katka poz akiwa pamoja na tshet zake za mtoto wa kln(kiwalan)
Dats wat we say Harakat za mtu mweus,al da best an big up brodaa

Weezy f f na dhea az a new couple

Rapa wa YMCMB lil wayne,weezy f f,yung junior a.k.a mr carter inasemekana now ameamua kujikita kimapenz na whte cute toto(gal) known by de nam Dhea,weezy ameonekana akiwa na mtoto huyo sehem mbal mbal za kwa Obama land wel knwn as USA wakienjoy na kula maisha km kawiz.
Dhea ambaye ni italian descent an is apparently part of de wait staff at a Scottsdale eatery called Suede Restaurant & Lounge na hiyo ni kw mujibu wa mtandao wa Heavenhallywood.com


Pcha:hapo juu kama weezy anayvoonekana na dat white cute gal Dhea

Tuesday, October 4, 2011

Mzee wa Windeck ndan ya Jakaya land

De kido from Angola Cabo Snoop anayetamba na kbao chake cha ''windeck'' na kile kilchotamba sana ad kushika nafas kubwa kijamii kama ringtone kwenye 4n za maraia na hiki ni kitu cha ''Prakatatumba'',de kido tareh 9 mwez huu siku ya jpil atapga show afta kuteka jukwaa nchi ya jiran ya kenya so nahis ni zamu ya  hapa tz pale pande za leaderz club jijin dar cty na atapewa sapot ya kutosha toka kwa wenyej wake from here here tz

Sam & Mchomvu wamfuata B12


 Presenter wa Power Jam na FNL ya EA radio na EATV Sam Misago pamoja na AD plus a.k.a baba jonii Adam Mchomvu ambae ni co-host wa double XXL na B12 pamoko na Dj fetty wameamua kujishughulisha na busness nyngine kuachilia na kaz zao binafs
''nataka ku-run biashara zangu ambazo kw sasa ziko kwenye maandaliz ya ambapo kila ki2 kitakapokamilika ntafungua clothing line pamoja na printing and promotion company soon''alisema mtu mzima AD+ ambaye pia ameshka no 1 ya radio presenter in TZ accordn to HOLA research ila kwa upande mtu ambaye amezaliwa champion Sam Misago amesema siku za uson atafungua hiw own clothing line itakayoitwa ''Champion Classic'',''nipo kwenye harakat za mwisho za kuandaa my brand ya champion''-Misago say.
Kwa pamoja wanakuwa wamepiga hatua za kimaendeleo yao binafsi ya kimaisha na kumuunga mkono kw idea km zao presenter mwenzao B12 wa XXl ya Clouds ambaye ana own clasic ya pamba ya ''Born 2 shine''
Dats wat we cal Youth in busnessssss/zzzzzz no kulala

Aunt toka kw Nyerere ad kw Mandelaaaaa


De queen alyeturn toka beauty 2movie actres wel known by de nam Aunty Ezekiel amekula shavu la kupga sceen kwny series ya Isidngo ''The need'' inayorushwa na ITV inayofanywa kutoka nchin South Africa kw mzee madiba
''Nafurah kuwa wameangalia kaz zangu na kuzikubal vya kutosha na kuamua kunipa nafas hii na nategemea kumalizia mazungumzo na mambo kukamilika so am sure ntaiwakilsha vzur sana +255(Tz) na naomba sapot ya watanzania kiujumla''-alieleza Aunt Ezekiel

Monday, October 3, 2011

Gza ad kuwa mwanga mpya wa artst hapa bongo land na East Afrca kw ujumla


Gud Music Family toka A cty,Joh makin,Bonta,Nik II,G gwala gwala(nako) an Lord eyez wameamua kuanzisha music company il kukuza music na kusapot +255 music an al over afrka masharik,mkal wa kiujamaa song an vdeo inayopata air tym ya kutosha Nik II as Weus chairman albonga na SWAGGZKITAA na kusema ''2meamua kuanzisha Weus Company na kw sasa hipo katka harakat za mwsho kutambulika kiserikal.Aidha chairman huyo wa Weus aliendelea kutililika kw kusema lengo ni kufanya wasanii waliopo chin yake na chin km underground kufanikiwa kimuzik na kchapaa il kutoka droo na lyf la dunia
So u wasanii na ma underground mpango mzima ndo huu sasa na info kuhusu Weus Company itakapoachiwa rasm bas bla utata SWAGGZKITAA itakujuza
All de best weus,nyeus ngumuuuuuuuu
(Picha hapo juu;kutoka kushoto ni Joh makin,Nik II,G nako an Lord eyez az WEUS on de staaaege)

Sunday, August 21, 2011

De upcoming supa star in moderln

Abdalah Suleiman wel known by de a.k.a mr dalaz ni 1 kat ya wa2 walio na iman ya kuja kuwa bonge la supa star frm here here +255 maaruf km bongo land,ameshawai kushirik 1 ya mashndano makubwa ya u mr in hiz de future wrk plac DSJcollege(skul f jonalizm) na kuibuka mshind no 1 ata hvyo mr dala'z pia amekuwa baloz wa swahil fashion hapo dsj katka masuala ya kuimiza fashion vyuon na mashulen ,ze dude talk 2 swaggzkitaa na aka2dondoshe haya ''mi naiman kuwa naweza coz napenda so ctakata tamaa ad pale ntakapoona tz inajifunia na mwakilish wa fashion km mm'',malengo ya mr dala'z ni kuona watanzania 2kimuamin na kum2ma aka2wakilishe ktk mashndano ya kidunia na kurud na taj,woow dats nyc 2hear,al de best brodaa