Monday, March 12, 2012

Tukiamua tunaweza

Ukiachilia mbal suala zima la utata  wa vijana wengi katika maisha nchin Senegal ila hali ya kuweza kujikwamua kiuchum na kuleta changamoto ya maisha kw kufanya mchezo wa Wrestling maaruf kama mieleka kw kuwafanya vijana wengi walio na kipato duni kuutumia km kitega uchum chao(biashara),hapa tunamuangalia Gris Bordeaux ambaye ni star na bingwa wa wrestling katika nchi ya Senegal pia ni mwalimu wa wrestling pand za Dakar nchin humo.''Wrestling ni kuhusu akir,nguvu na nidham ambayo ndo itakupelekea adi kuwa profession katika malengo yako lakin pia mindset yako ni muhimu na unatakiwa kupata elimu kuhusu mchezo huu''alisema bingwa huyo wa Wrestling toka Senegal.Aliendelea kusema kwamba mchezo huu umeweza kumfungulia milango ya maisha kwa maana umemfanya aweze kujiamin,kuangalia usalama wa familia na vijana wa jamii yake kw ujumla.Lakin ukiachilia mbal na suala hilo pia mchezo huo unakutwa na uhaba wa vifaa vya kisasa kitu ambacho kinawafanya vijana wanaoupenda mchezo huo kutumia rims,tairi za magar zenye uzito kama chuma cha kuongeza kifua na kuwa heavier na mazoez yao yanakuwa maeneo ya ufukwen kitu ambacho kinawafanya wawe na eneo kubwa la kufanyia mazoez.Afrika tukiamua tunaweza
              Vjana wakijifua mazoezin                    
  
Vjana mazoezin

 vjana mazoezin
Mwandish wa habar toka CNN akiwa na mwalim wa wrestling Mr Gris Bordeaux toka Dakar,Senegal

No comments:

Post a Comment